Home Search Countries Albums

Uwi Lyrics


[MIKE ZERO]
Kama mtoto na peremende;
Kweli moyo wanikata wembe;
Wanitia joto tena mimi mzembe;
Mkulima ndoto tena niko na jembe.
Sina budi bali kukuambia;
Najikaza misuli tena navumilia.
 
[KINGPHEEZLE]
Ate onyirira bityaa,
Mukama yakugemulira neera,
Nga ate oli na mukyaamu,
Onyirira bitya buli muwala akutyaaaaa..,
How could ya know my mind got stuck by you gyal,
Super platinum but ma value is in you...ye eeh...
Pon yo body mi a boda boda rider,
Nakudata tena kwangu si kawaida Saida
Ama unaitwaga Halima,
Salima, salam zangu zikufikie eehee...
 
[DON SANTO]
Ah uwi uwi;
Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah.
Ah uwi uwi;
Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah.
 
[BADMAN KILLA]
Ona haka kandege kajileta kwa kiota
Kali ringa ringa, nami pia nikanyeta
Klassik time!
Loving, forgiving and living my life like is no time!
Tena siwezi kulalamika mola kanipa zawadi;
Katoto yaani pretty pretty;
Lazima nikalime miti;
She my lady!
She my babe!
 
[DON SANTO]
Ah uwi uwi;
Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah.
Ah uwi uwi;
Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah.
 
[DON SANTO]
Oh Kalpop music to the world! Oh oh eh yeah!
Ooh! Klassik Nation Yeah!
Blessings! Blessings! Blessings!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Klassik Nation (Single)


Added By : KLASSIK NATION

SEE ALSO

AUTHOR

KLASSIK NATION

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE