Home Search Countries Albums

Hatuachani

ADASA

Hatuachani Lyrics


Oh baby napenda unapoitazama
Unanipa ladha ya kiutuzima flani
Na tena sitaki ata unipe time
Kama ni nare tuwashe ki style
Oooh kweli tena tena (umenimurder)
Umenipa tender tender (sina ujanja)
Kweli tena tena (umenimurder)
Umenipa tender tender (sina ujanja)
(Hatuachani)
Ukinivunja moyo nakuvunja mbavu tunaendeleeaa
(Mi nawe hatuachani)
Ukinicheat baby nakucheat tunaendeelaa
(Hatuachani)
Ukiniplay nakuplaaay tunaendeeeaaa
(Mi nawe hatuachani)
Hatu hatu hatu hatu mmhhh
Hali yangu tetee teteeeeteeteeee
Usinicheze kete keteeee keteeeee
Hali yangu tetee teteeeeteeteeee
Usinicheze kete keteeee keteeeee
(Hatuachani)
Ukinivunja moyo nakuvunja mbavu tunaendeleeaa
(Mi nawe hatuachani)
Ukinicheat baby nakucheat tunaendeelaa
(Hatuachani)
Ukiniplay nakuplaaay tunaendeeeaaa
(Mi nawe hatuachani)
Hatu hatu hatu hatu mmhhh

Mi nimechoka kubadili mapenzi
Kila kukicha nageuza ili nisi heartbreak
Tupendane baby, tuelewaneee baby
Tutulie sasa tujenge famila nawe
Ama tuishie mbele tuoze shimo la tewa nawe
Si uliahidii kunipenda mpaka kufa
Ama zangu ama zako baby, tulikula yamini
Safari imeanza, mmhhh basi nakusihi funga mkandaaaa eeee
(Hatuachani)
Ukinivunja moyo nakuvunja mbavu tunaendeleeaa
(Mi nawe hatuachani)
Ukinicheat baby nakucheat tunaendeelaa
(Hatuachani)
Ukiniplay nakuplaaay tunaendeeeaaa
(Mi nawe hatuachani)
Hatu hatu hatu hatu mmhhh
Hali yangu tetee teteeeeteeteeee
Usinicheze kete keteeee keteeeee
Hali yangu tetee teteeeeteeteeee
Usinicheze kete keteeee keteeeee
(Hatuachani)
Ukinivunja moyo nakuvunja mbavu tunaendeleeaa
(Mi nawe hatuachani)
Ukinicheat baby nakucheat tunaendeelaa
(Hatuachani)
Ukiniplay nakuplaaay tunaendeeeaaa
(Mi nawe hatuachani)
Hatu hatu hatu hatu mmhhh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Hatuachani (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ADASA

Kenya

Adasa Dasa is  fast rising artist from Kenya signed under Dallaz Records. Her first song o ...

YOU MAY ALSO LIKE