Ni Ndio Lyrics
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Mungu si mtu
Yeye adanganye
Wala si mwanadamu
Kwamba ajute
Akiahidi anatenda
Akisema anafanya
Ni ndio ni ndio ni ndio na amina
Mungu si mtu
Yeye adanganye
Wala si mwanadamu
Kwamba ajute
Akiahidi anatenda
Akisema anafanya
Ni ndio ni ndio ni ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Kila neno lake
Limehakikishwa
Limedhibitishwa
Limeidhinishwa
Ahadi zake
Ni ndio na amina
Ni ndio ni ndio ni ndio
Kila neno lake
Limehakikishwa
Limedhibitishwa
Limeidhinishwa
Ahadi zake
Ni ndio na amina
Ni ndio ni ndio ni ndio
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ni ndio na amina amina amina
Ni ndio na Amina ni ndio na amina
Ni ndio na amina amina amina
Ni ndio na Amina ni ndio na amina
Ni ndio na amina amina amina
Ni ndio na Amina ni ndio na amina
Ni ndio na amina amina amina
Ni ndio na Amina ni ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
Ahadi zake Bwana
Ni ndio Amina
Ndio ndio ndio na amina
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Ni Ndio (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
DR SARAH K
Kenya
Dr Sarah K is an artist from Kenya. She is a Gospel minister, wife , mother of three and mother ...
YOU MAY ALSO LIKE