Home Search Countries Albums
Read en Translation

Mubaba Lyrics


Hey hey hey Vinny flava
Diana B on this

Are you coming home Shiro?
Are you coming tonight Shiro
Are you partying tonight Shiro
Kwa walenje sina pesa
Ujue vile leo unacheza
Hizo mizinga juu ya meza
Ujue vile leo unacheza

Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)
Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)
Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)
Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)

Nimekam na mbaba, mfadhili
Ju nakuwanga na allergy ya umaskini
Napenda goodlife napenda fine things
Love bila pesa si tamu ni pilipili

Heri nipate heartbreak Dubai
Nikiwa kwa mayatcht ma machampagne mi hudai
Ah than a fly guy kutoka Githurai
Najigamba na doshi na mfuko ni kirai

Hapa salamu ya goodmorning ni MPESA baby
Sio umelalaje umeamkaje za ufala baby
Nilitoka ligi ndogo niko biggy baby
Ndio upate simu natumia uza kidney baby

Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)
Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)
Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)
Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)

Leo tunatesa club imeshika leo ni kupewa
Hakuna cha kulala leo niko na mmama waiter we ongeza tu
Kunywa pesa si zako na ukizimia ni trouble
Utuambie siri zako na tukicheka isiwe trouble

Hamna lolote nyinyi vijana wa town
Siku ya birthday mnanipost 'A Queen was Born'
Saa iyo mbaba anacheza Lui Vuiton
Hamjanotice ni mfuko huniturn on

Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)
Umekuja na mbaba eeh (Eeh nimekuja na mbaba)
Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)
Umekuja na mama (Eeh nimekuja na mama)

Are you coming tonight Shiro
Are you partying tonight Shiro

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mubaba (Single)


Copyright : (c) 2022 EMB Entertainment.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DIANA BAHATI

Kenya

Diana Bahati is an artist from Kenya. She debuted her new song "Hatutaachana" released on ...

YOU MAY ALSO LIKE