Umeniroga Lyrics
Jagwani umeota mtendeni
Mashetani yashapanda kichwani
Penzi ladha utamu wa peremende
Mganga kakoleza udi na ubani#
Nitekenye kwenye mbavu
Basi niguze taratibu watikisa nyavu
Nichechemee kama mlemavu
Kwako beki hazikabi usiniweke sub
Mbona wanapata tabu vijiba vya roho
Penzi limenoga
Ugali na kisambu naridhika roho
Kwako mi mzoga
Kitandani nipe swagga la kashasha (Chambua)
Imeshalowa babe weka marker (Kamua)
Tandika jamvi tena changa na karata (Binua)
Wenye chosha kanaswa kibaka
Umeshaniroga, roga utata
Niroga, roga utata
Umeshaniroga, roga utata
Niroga, roga utata
[City Boy]
Lazima imebaki kikaka
My baby boo chonde na macho kwa kitumbua
Utamu wako wa kashata
Mi roho juu nafika kunako, mikono juu
Ju ka Minaj nakazana, si pendo la kumimina
Naota nikikutaja jina
Si kama na act, twapanda tati, shopping twende Madina
Ngozi za nyoka tutoe China
Kitandani nipe swagga la kashasha (Chambua)
We komoa nizidi kudata (Binua)
Kama kamovigesi zifike Basata (Zingua)
Kwenye toto kanaswa kibaka
Nasema girl umeniroga, roga utata
Niroga, roga utata
Nasema girl umeniroga, roga utata
Niroga, roga utata
Nitekenye kwenye mbavu
Basi niguze taratibu watikisa nyavu
Nichechemee kama mlemavu
Kwako beki hazikabi usiniweke sub
Mbona wanapata tabu vijiba vya roho
Penzi limenoga
Ugali na kisambu naridhika roho
Kwako mi mzoga
Ju ka Minaj nakazana, si pendo la kumimina
Naota nikikutaja jina
Si kama na act, twapanda tati, shopping twende Madina
Ngozi za nyoka tutoe China
Umeshaniroga, roga utata
Niroga, roga utata
Umeshaniroga, roga utata
Niroga, roga utata
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Umeniroga (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE