Tamu Lyrics

Mi nawe twaendana
Tuipeperushe bendera
Huba limeshamiri twapendana
Washakunanaku twawakera
Nipike nini leo manazi au mafuta (Mafuta)
Nataka mechi leo, ukishiba ndo nitajuta
Nishashika pembejeo nilimishe matuta (Matuta)
Ndani sitoki leo mwizi karuka ukuta
Nataka tena, tamu tamu hio tamu
Utamu kunoga, tamu tamu hio tamu
Nipe tena, tamu tamu hio tamu
Utamu kunoga, tamu tamu hio tamu
Nahisi baridi usinivishe koti nikumbatie
Nipe mapenzi kwa bibi nikasimulie
Wakikuita mashosti ganda ka roboti wavimbie
Wakilete ushenzi niite nikuchambie
Nipike nini leo manazi au mafuta (Mafuta)
Nataka mechi leo, ukishiba ndo nitajuta
Nishashika pembejeo nilimishe matuta (Matuta)
Ndani sitoki leo mwizi karuka ukuta
Nataka tena, tamu tamu hio tamu
Utamu kunoga, tamu tamu hio tamu
Nipe tena, tamu tamu hio tamu
Utamu kunoga, tamu tamu hio tamu
Nipe tena, tamu tamu hio tamu
Tamu kunoga, tamu tamu hio tamu
Ooh Nipe tena
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Tamu (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE