Home Search Countries Albums

Power Couple (Unanimaliza)

YOUNG KILLER

Read en Translation

Power Couple (Unanimaliza) Lyrics


Enhe hee bwana
(Dapro on the track)

Mungu hakupi unachotaka
Anakupa unachostahili
Moyo wangu hauna haraka
Ulisubiria kwa unyenyekevu
Nawaahidi zevu alipiga route nyingi sana
Masafa marefu na ndo akafika kwetu
Till now tupo safe

Mzuri wa tabia, sura pamoja na shape
Harusi ndo kifuatacho tuwalike ma elfu
Waone nikikushika kunako kila nikipata gap
Hakuna anaye kuhate you wanafiki no okay
Mbele ya macho yao wanaona tunapiga step
Pop machampagne tupia picha Facebook
Insta wanabaki wanaguess tu

Mi nawe till I die
Hakuna mkate mgumu baby mbele ya chai
Shika kokote I don't feel shy
You are my one and only

Unanimaliza, unavyokandamiza
Baby hakuna unachokibakiza baby
Unanimaliza, tamu umepitiliza
Baby hakuna unachokibakiza

Huh nilikutaka, nikakusaka
Ukanichezesha kombolela nikakupa time
Nikakupakata ukawa unakataa
Ndo kupeana roho ile kitu inataka

Mtoto unawaka kwenye mtego nimenasa
Kama muda ni sasa acha nitoke kihafsa
Twende zetu Mombasa tuienjoy masafa
Tukirudi new chapter kando ya ziwa Nyasa

Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili
Moyo wangu wa subira ulisubiria kwa unyenyekevu
Naoahidi zevu alipiga route nyingi sana
Masafa marefu na ndo akafika kwetu
Yaani now tupo safe

Mzuri wa tabia, sura pamoja na shape
Tuna pop machampagne tupia picha Facebook
Yeah eeh bwana

Unanimaliza, unavyokandamiza
Baby hakuna unachokibakiza baby
Unanimaliza, tamu umepitiliza
Baby hakuna unachokibakiza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Power Couple (Unanimaliza) (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG KILLER

Tanzania

Young Killer Msodoki is a young rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE