Sitokata Tamaa Lyrics

Dangboy
Imeandikwa kukata tamaa Nidhambi
Ata Kama ukilala na njaa Jitahidi
Si unaona yule anacheka kesho utakuta
Analia
Wengine kula yao kuteseka kutwa nzima
Kutanga na njia
Mi nikipata kidogo huaga namshuru
Mungu
Maana kwenye riziki hapakosi mizozo
Kizibiana riziki mafungu
Eeeh nikipata kidogo huaga namshuru
Mungu
Maana kwenye riziki hapakosi mizozo
Kizibiana riziki mafungu
Eeh nakama imepangwa ipo ooh
Ipo ipo ooh
Najapo tunapitia mapito ooh
Mapito pito ooh
Tamaa tamaa
Naamini SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naahidi SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naamini SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naahidi SITOKATA TAMAA
Matatizo ni mengi
Nashida ndio zimetawala aah
Wanabomoa sijengi
Biashara yangu kutwa hasara aah
Navumilia aaah
Ltafika tu riziki ni mafungu saba
Japo magumu napitia aah
Nishike mkono nisianguke eeh mungu baba
Bado sina nnacho kitaka ndio maana nakazana
Nimezama kina muziki ni haso nazidi kupambana
Eeh nakama imepangwa ipo ooh
Ipo ipo ooh
Najapo tunapitia mapito ooh
Mapito pito ooh
Yashinde majaribu yako ooh
Yako yako ooh
Ya Leo sio ya Jana
Endelea kupambana inawezekana
Tamaa tamaa
Naamini SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naahidi SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naamini SITOKATA TAMAA
Tamaa tamaa
Naahidi SITOKATA TAMAA
Nijaribu mie
Nijaribu kwingine
Kukata tamaa no no no no oo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sitokata Tamaa (Single)
Added By : Young ferooz
SEE ALSO
AUTHOR
YOUNG FEROOZ
Tanzania
Young Ferooz is a Singer / actor / director/ Producer & Editor Video from Tanzania signed under& ...
YOU MAY ALSO LIKE