Basupa Lyrics
Basupa basupa basupa
Naona wanakimbia lipa bili
Leta kwa basupa tajiri
Afu ongeza chupa kama mbili
Sifa nimenyimwa ubahili
Unazuga hunioni
Huna kitu unamvimbia don
Basupa
Si tupo mbaka morning
Afu hi indo kwanza jioni
Basupa
Chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii chikichiii
Basupa
Basupa basupa basupa
Nisifie nikutunze sina dogo
Mi ndo wa kuitwaga
Basupa
Hapa vyote ni bure sina baya mwenyewe utajiongezaga
Basupa
Mpaka kukuchee
Hakuna mtu kusepaga
Basupa
Labda watufukuzee
Ila pesa hapa kuishaga
Basupa
Unazuga hunioni
Huna kitu unamvimbia don
Basupa
Si tupo mbaka morning
Afu hi indo kwanza jioni
Basupa
Chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii
Basupa
Chikichiii chikichiii chikichiii
Basupa
Basupa basupa basupa
Nisifie nikutunze sina dogo
Mi ndo wa kuitwaga
Basupa
Hapa vyote ni bure sina baya mwenyewe utajiongezaga
Basupa
Mpaka kukuchee
Hakuna mtu kusepaga
Basupa
Labda watufukuzee
Ila pesa hapa kuishaga
Basupa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Basupa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE