Nashukuru Lyrics
Ale bung’enyo ng’enyo
Nisgapitia mingi mikasa aaaa
Adi kufika lea nasema ishahia
Sikuacha kupambana
Riziki kutafuta
Japo nyingi changa moto
Sikuukuta tamaa
Nisha aso studio na brother
Usiku na mchana nashinda na njaa
Alafu natoka mtupu
Sikuwa na kimbilio nasanda
Mameneja ununio nalanda
Kipaji kinatoka kutu
Ila nashukuru
Baba na mama
Na uwongozi wangu kwa kunilea uyema
Kulea kipaji changu sito acha tena
Me nashukuru Sina cha kusema atalipa manani
Nashukuru funika kombe mwana haramu apite
Me nashukuru sisi binadamu mioyo yetu aifanani
Nashukuru japo maneno mengi wacheni yapite
Heshima kodi mama aliniambia
Nisi fosifosi mana moaji rabbana
Heshima mgodi mengi alinihusia
Daima sichoki nisikate tamaa
Yani mikiki na visiki na
Jituma me sichoki
Nakazana aa napambana na
Mlima me sitoki
Sasa mimi wa moto moto
Kagela kapenya mamboso kitoto
Kipele cha hema
Yani so kimoko Dewele kadede
Chizi mwokota kopo
Imeshuka nehema
Ila nashukuru
Ila nashukuru
Baba na mama
Na uwongozi wangu kwa kunilea uyema
Kulea kipaji changu sito acha tena
Me nashukuru Sina cha kusema atalipa manani
Nashukuru funika kombe mwana haramu apite
Me nashukuru sisi binadamu mioyo yetu aifanani
Nashukuru japo maneno mengi wacheni yapite
Me nashukuru Sina cha kusema atalipa manani
Nashukuru funika kombe mwana haramu apite
Me nashukuru sisi binadamu mioyo yetu aifanani
Nashukuru japo maneno mengi wacheni yapite
Wanaona haya oooohaya
Walo panga nianguke wanaona haya
Anaona haya walopanga nisifike haya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nashukuru (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE