Home Search Countries Albums

My Wangu

Y PRINCE

My Wangu Lyrics


Una nywele zako sio zawigi
Umejaliwa ngozi raini
Sioni kasolo maa uko fine
Macho regevu umekunywa wine
Motto mnyenyekeyuu
Ata ukinunaa
Kama unatanasamu
Yani sio legevuu
Tembele ukichumaa
Sihishiwi hamu
Una vidipo dipo mashavunii aaahh
Vipiko piko kitovuni aaahh
Una malingo lingo simuoni
Una nimalizaa aaahh
Una mikunjo kunjo sakafunii
Miguno guno uku chumbanii
Komfuu taichii mbaka shalukani
Una nifanya naliaa

We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
(My wangu, my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)

Kwanza mi niwako naseti mipango
Kulilinda penzi lako
Nisha weka bango nifunge midomoo
Wanao fata nyendo zako
Kina keli mastery
Mange kimambii
Wakikusema watanyea kaah
Usije kua rayvanny
Ma papaladhi
Mkanisema nikaja nikawekwa ndani
Mfupa kibogoyo
Nipo radhi
Ata kwenda kwawazazii
Nisha kubali nisha weka nadhiri
Moyo wangu uko wazii
Una mikunjo kunjo sakafunii
Miguno guno uku chumbanii
Komfuu taichii mbaka shalukani
Una nifanya naliaa

We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
(My wangu, my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my (We ndo ma my wangu)
My (my wangu)
My (my wangu)
We ndo ma my wangu
My (my wangu)
My (my wangu)

Una mikunjo kunjo sakafunii
Miguno guno uku chumbanii
Komfuu taichii mbaka shalukani
Una nifanya naliaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : My Wangu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

Y PRINCE

Tanzania

Y PRINCE is a young artiste from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE