Moyo Lyrics
Pole pole pole pole
Pole pole moyo wangu
Masikini pole
Pole mtima wangu
Haikuwa dhamira
Haikuwa kusudi langu
Haikuwa dhumuni waala
Haikuwa malengo yangu
Ila tuseme labda moyo
Pengine sio ridhiki
Maana nimejitahidi sana
Malengo hayafiki
Kama kushwali naswali sana
Mpaka sunna za usiku
Kazi nimetafuta saana
Ila siambulii kitu
Sitaki kukufuru mungu
Sababu najua ni mapito
Japo inakatisha tamaa
Ila siku yangu ipoo moyo
Usiumie (moyo wangu)
Ni mapito (oooh moyo)
Haya yote mitihani na yana mwisho
Moyo wangu moyo (usiumie)
Moyo (ni mapito)
Oooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
Penzi maua
Pesa mbolea
Hata shemeji yako ana
Mengi ila hawezi ongea, moyo
Najitahidi jiepusha vya watu
Ni majaribu aah
Japo nna shida ila naepuka tama
Moyo nlitamani siku moja
Na mimi nimjengee mama
Ila ndo vile tu umasikini
Mipango inakwama
Hua naumia watoto shuleni
Wakifukuzwa ada
Najiona mjinga
Yani sio bora baba
Sitaki kukufuru mungu
Najua ni mapito
Maana riziki mafungu
Nami langu siku lipo moyo
Usiumie (moyo wangu)
Ni mapito (oooh moyo)
Haya yote mitihani na yana mwisho
Moyo wangu moyo (usiumie)
Jikaze moyoo (ni mapito)
Oooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
Moyo oooh
Moyo oooh ooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
DIAMOND PLATNUMZ
Tanzania
Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...
YOU MAY ALSO LIKE