Nimelewa ft Jux Lyrics
Saldido, ayayaya
Am so drunk hunnie
Ayayaya am so drunk hunnie
Mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love (Nimelewa)
In love, am drunk in love (Nimelewa)
Aah katoto kasupu ka Nakuru
Katoto ka Duchu kana nuru
Katoto ka Kenya kwa Uhuru
Nisiseme mengi nitakufuru
Naweweseka kinoma, kinoma nasema kinoma
Palipochanika amepashona
Tilalila, nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love (Nimelewa)
In love, am drunk in love (Nimelewa)
Ah kwani umeweka busu gani kwa mapenzi mama
Unashepu nzuri tena wanikata maini
Sikuwahi jua, kuna mapenzi ya kweli mama
Till nikakupata yeah yeah yea
Oh I thank the Father
Tilalila, nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa
Kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love
In love, am drunk in love
Sikuwahi jua
Ipo siku ningemuona malaika kwa macho
Until nikakuona baby
Mara moja ukanilewesha
Hako katouch kako gentle
Ka smile kako simple
Tilalila, nimelewe
Oooh nimelewa
Baby mi nimelewa
Oooh nimelewa
Baby mi nimelewa
Oooii maya, oooiii iii maya
Oooii maya, oooiii iii maya
Owouwo maya, oooiii iii maya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : The African Experience (Album)
Copyright : (c) 2021 Saldido
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI, ...
YOU MAY ALSO LIKE