Home Search Countries Albums

Alkaida Lyrics


Willy pozee
Alkaida, nimelipuka kama bomb
Alkaida, samahani nikikuboo
Alkaida, nitakupiga ukonde boy
Alkaida (pozeee)

Alkaida, nanukia ka cologne
Nivute kama ndom
Mi ni yule king of flow** call me commando
Kazi ni kuimba tu na kumake doh

Tena ananikalia kuna na aibu
Anaogopa sana asipate aibu
Naomba hii imfikie hadi chibu
Na wote wajue kuna jitu

Kuna watu wenye roho mbaya
Hawapendi ona ukipenya
But nabisha kila door
Ata waninyonge koo
Mimi ndo  the king of flow
And they know

Kwenye mitandao nipo tu kila sehemu
Vijijini na mataoni (aah kila sehem)
Radio, TV,  niko pia kwenye system
Ngangari kama root na stem

Alkaida, nimelipuka kama bomb
Alkaida, samahani nikikuboo
Alkaida, nitakupiga ukonde boy
Alkaida

Alkaida, najiamini ndume
Alkaida (pozee)
Alkaida na kama ww ni ndume
Alkaida(jibu)

Kama kuna ndume naomba nijibu
Usifanye tabia za kiaibu
Huyu ni willy poze mr ibubu
Just incase ulijisahaulisha

Unajaribu kufunga njia zangu za afrika
(Afrika ya mama)
Unasahau wewe sio sio mungu baba
(sio mungu baba)

Umekwama plan a
Niko plan b
Mungu amefungua njia ata na cardi b
Kuna rihananana (my rihananana eeh pia)

Alkaida, nimelipuka kama bomb
Alkaida, samahani nikikuboo
Alkaida, nitakupiga ukonde boy
Alkaida

Alkaida, nimelipuka kama bomb
Alkaida, samahani nikikuboo
Alkaida, nitakupiga ukonde boy
Alkaida

Alkaida, najiamini ndume
Alkaida(pozee)
Alkaida na kama ww ni ndume
Alkaida(jibu)

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Alkaida (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WILLY PAUL

Kenya

Born on  September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...

YOU MAY ALSO LIKE