Kanungo Lyrics
Naskia naumwa kichwa (yeah yeah)
Naski sijihisi vyema (yeah yeah)
Pozee
Nitaishi vipi bila wewe mpenzi niwie radhi
Ni mimi mpenzi nimekosea (aah)
Ni mimi mpenzi nimekosea (aah aah)
Lakini mwana hajakosea (yeah yeah)
Kama kuhukumu nihukumu mie(yeah yeah)
Baby tazama machozi yani dondoka mimi (eeh)
Baby tazama machozi (yeah yeah...)
Naskia unaolewa my baby my honey
Na mimba umepanga toa ya kwangu mimi
Mpenzi unanijua niko na hayo uchungu moyoni
Mpenzi unanijua niko na haya mawazo kichwani
Baby kweli nilikosea lakini mtoto hakukosea
Naomba usinisamehe lakini umsamehe
(yeah yeah...) (mamaaa....)(ooooh yeah....)
Naskia
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe
Baby kweli unampenda huyu jamaa
Nieleze kweli unampenda huyu jamaa
As much as najua huwezi nisamehe(heeehee..)
Ningependa ujue bado nakumind(heeehee..)
Nilidhani nitaanza familia nawe
Nilidhani shida zetu tutazipiga sote beiby eeh
Kweli sio kila mtu mwenye maumbile nzuri ni mzuri aiiii
So don't judge a book by its cover(oooh oohh....yeah)
Naskia
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe
Baby kweli unampenda huyu jamaa
Nieleze kweli unampenda huyu jamaa
As much as najua huwezi nisamehe
Ningependa ujue bado nakumind
Naskia naumwa kichwa (yeah yeah)
Naskia sijihisi vyema (yeah yeah)
Nitaishi vipi bila wewe mpenzi uniwie radhi
Kama siko na wewe umuhimu gani wa kuishi?
Kama hauko na mimi haja gani ya kuishi?
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe kwa moyo
Amekununulianga kanyumba, ndio ucheze naenae kanungo
Amekununulianga kanyumba unitoe
(mama mama mamamaaa......)
The word of God inasema.... Learn to forgive
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : KANUNGO (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE