Kombola Lyrics

Dantez mara tena
(Maliza Umasikini)
I say ukitembea kama kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Yaani kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Eti Katerina you're my desire
Mtoto flani hivi moto fire
Umenishika ni mambo mbaya
Yaani Katerina wanipeleka haya
Akili yayumba fikra inagwaya
Moyo wangu ebu ita fire oh fire fire
Saa ya call naweka vocha
Nikupigie ufurahi
Ukichelewa mama utanikosa
Baby I go die aah
Basi leo nakutoa uoga akili yangu unaikoroga
Wanasema eti umeniroga ah kama kweli ongeza tena
Ana kilima nyuma kwa mgongo gongo
Hicho kiuno sasa ka mkongo gongo
Kanyumba flani hivi ka udongo ngo
Kombola, kombola
Kombola kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
Kakitembea kama kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Yaani kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Sijamaliza kula na nawa
Akili imeniruka napagawa
Nataka toto nahisi ka nina dawa
Kamenishika haswa nachachawa
Watakuja wa kishua watakuja mabishoo
Watakuja wa shua na watamwaga doh
Katerina kataa we sema no
Maana nitalia nitaumia roho
Msafara wa mamba haukosi kingi
Majungu si mtaji twende tukajenge
Wacha waseme mama yetu si aende
Wacha walie lie mi nawe tugende
Ana kilima nyuma kwa mgongo ngo
Hicho kiuno sasa ka mkongo ngo
Kanyumba flani hivi ka udongo ngo
Kombola, kombola
Kombola kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
Kakitembea kama kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Yaani kana tege
Nyuma kama kamefungwa debe
Kombola kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
Kombola, kombola
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kombola (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DANTEZ 254
Kenya
Dantez 254 is an artist from Kenya signed under Maliza Umasikini Record label. ...
YOU MAY ALSO LIKE