Home Search Countries Albums

Kesho Lyrics


Nakumbuka nikikuita unasonya
Wanipandisa wanishusha
Nilikua sina doh
Mtaani nala dodo
Nilikua sina jambo
Iweje leo nina jambo
Mwana kulifind mwana kuli get oh
Ndio waniita mpenzi
Mwana kuli find mwana kuli get of
Ndio waniita your baby
I’m sorry nilipotaka uwe mke
Ulisema sina doh so so sorry
Ata kabaiskeli kangu
Ulisema nisake doh doh
Do you know
Ni kidonda aina gani
Uloniweka moyoni
Upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo
Upendo unadhaminiwa, pale wakiwa nazo

Nilikuomba usubiri ata kesho
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa

Ulichoka na maisha ya tomato
Tomato tomato tomato chumvi ugali
Ulitaka maisha dubai na mi sikatai
Bora ungeni subiri baby ona leo
Ninamiliki nayumba 30 pale lavii
It’s so sad siwezi share
Na niliye mpenda kwa moyo wa dhati
My valentino, ungenitunzia moyo wako
Kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama
Hata kosa ilipo tokea , nilishindwa kukasirika
Hata moyo ulipo nivunja, nilishindwa kukasirika

Nilikuomba usubiri ata kesho
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa

Ulitoruka sababu sikua na lolote
Kwa magoti niliomba usiniache my lover
Kesho yetu itakua sawa
Ulipigiwa simu
Nilipo gonjeka karibu nifa mama
Ukasema hunujui, mi na we tulikua mistake
Baby don’t blame me, don’t blame me
Nimepata mwingine
Baby don’t blame me, don’t blame me
Nimepata mwingine

Nilikuomba usubiri ata kesho
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa
Nilikuomba usubiri ata kesho
Na na kesho sawa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Kesho (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

WILLY PAUL

Kenya

Born on  September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...

YOU MAY ALSO LIKE