Home Search Countries Albums

Akia

SERRO

Akia Lyrics


Nina uoga jamani nina uoga 
Sielewi nini inatendeka 
Kwa sababu vile wajitolea kunipenda,
Mimi sijazoea.

Nina waza na tena nina panga
Vile mimi naweza kutoroka 
Hisia zangu ambazo zinapanda
Zinanifanya kuogopa

Aluor (I'm afraid)
Wuog buta (Move away from me)
Akia (I dont know
Akia kaka idwa ni aheri (I dont know how you want me to love you)

I've always dreamed of a love like this
A man who'll love me so perfectly, 
How can it be, now that you're with me,
I can't seem to believe that this is for real
Unakazana unakazana, Nakataa 
Wajaribu kusukuma, Nakataa 
Nimejenga ukuta kaziba ufa huwezi ingia

Aluor (I'm afraid)
Wuog buta (Move away from me)
Akia (I dont know
Akia kaka idwa ni aheri (I dont know how you want me to love you)

Oooo, ningependa uwe wangu
Lakini naona ngumu
Nina zangu sababu
Mapenzi hugeuka sumo, oooo

Aluor (I'm afraid)
Wuog buta (Move away from me)
Akia (I dont know
Akia kaka idwa ni aheri (I dont know how you want me to love you)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Akia (Single)


Copyright : (c) 2020 Serro Music


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SERRO

Kenya

Serro real name Serro Hulda is an artist, songwriter, performer based in Nairobi, Kenya. S ...

YOU MAY ALSO LIKE