Kamataa Lyrics
Bebi wamesanya ngoma yangu pozze aah
Naskia uduuuu
Si bebi wamesanya vitu zangu mmmh
Naskia uduuuu
Bebi katika washa ngaaa
Kumbe wakenya ni mabazuu
Mabazu ngaaa
Ngaa kamata pepeta
Katoto kazuri
Basi bembeleza aah
Kamatako hii
Kamata, kamata
Kamata kwa chini
Basi kamata kamata
Kamatako hii
Niite simba
Mi ndio king kwenye game
Hawana keshima hatuwezi Kuwa same
Kamata alafu endesha kama baisikeli
Kamata salaam aleikum
Usimess na mkenya ni mtu mbaya
Ata ku ni mtu mbaya
Mi nitatetea sauti ya wanyonge
Si mi ni pozze eeeh
Kamata pepeta
Katoto kazuri basi bembeleza
Ngaa, Kamatako hii
Kamata, kamata
Kamata kwa chini
Basi kamata kamata
Ngaa, Kamatako hii
Kamata, kamata
Kamata kwa chini
Basi kamata kamata
Ngaa, Kamatako hii
Bebi inama achana copycat
Wale wanigwaya coz mi ni nomaree eeh
Bebi inama alafu katika
Washamba wamegwaya coz nitawandika aah
Mbona mwanikera ra ra ra
Kenyan boy ii
Mbona mwanisanya nya nya nya
Kenyan boy ii
Madem wetu ni wetu
Kaeni na wenu
Ngaa, ngoma zetu no zetu
Toeni na zenu
Ngaa, kamata pepeta
Katoto kazuri basi bembeleza
Ngaa, Kamatako hii
Kamata, kamata
Kamata kwa chini
Basi kamata kamata
Ngaa, Kamatako hii
Kamata, kamata
Kamata kwa chini
Basi kamata kamata
Ngaa, Kamatako hii
Kamatako hii
Kamatako hii
Kamatako hii
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kamataa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI, ...
YOU MAY ALSO LIKE