Lonely / Ex Lyrics
Hasa unanikatia simu
Kuna maamuzi ila yako mabaya
Unaniona me wazimu sio poa
Ulifunga virago kwenu ukaenda
Vile unanibore
Hata jina la ex sioni nikikuita tena
Umenivunja roto
Hata niwe na chance siwezi kukupea tena
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Si ulipenda kuchepuka
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Ona sasa yamekukuta we
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Si ulipenda kuchepuka
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Ona sasa yamekukuta we
Uko lonely
Kwanza tangu uondoke
Madeal zinagongana
Mwenzio nang’ara kwa sana
Haunitishi
Ona vile umefubaa sura huna
Najua unatamani kurudi
Nishapata mwingine huna budi
Vile unanibore
Hata jina la ex sioni nikikuita tena
Umenivunja roto
Hata niwe na chance siwezi kukupea tena
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Si ulipenda kuchepuka
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Ona sasa yamekukuta we
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Si ulipenda kuchepuka
Uko lonely ooh ooh
Uko lonely
Ona sasa yamekukuta we
Uko lonely
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Lonely / Ex (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE