Home Search Countries Albums

Mdomo Lyrics


Ni waaaakuuu!
(Hahaha Baba Hakim)
Haaa, skiza, namba nane

All eyes on me, ju mi ni ndio ile kitu mmekuwa mkingoja nanii
Always with my gees, ju nina maninja wako ready kudie nami
So kama ni vita, mkae mkijua nitakuja kama nimejami
Kuzoza ni lazima, hauwezi kupima ju mi hutembea na magwangi

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Huku baze yangu kuna karao alicha kiatu, akikimbia after ju ya kuzoza
Niko biz allday ndio nifikirie fiti after kila one hour nikiboza
East ndio kubonga, hutapenda tukibonda, watangoja sana kuona nikikonda
Allday mi nazoza mfuko ndio kubonga, vile naingiza utadhani mi donga

Nimetulia home nikiskiza marapper chem
Ndio maana nawachachoma ni kama nawaeka baking
Na kama kuna rapper anajichocha now I be baking men
Nawakimbiza sana itabidi muitishe brake men

Hizi pande hatupakangi marashi
Harufu ya bangi ka hupendi mtoto wa shetani
Hizi ganji ka ni zangu huguzangi
Ju vile mi husakanya ka mtoto wa mchawi

Mi ni gwangi waulize silalangi 
Nashindaga jaba tu zabe nikipiga kambi
Unaweza ukadhani niko idle 
Kufikiria mi ni mwizi hatutumani --

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Yeah! Munga the punisher
Usione vile ati watu wameisha
Ala, ala, alar alaa! Aisha
Unanitatiza maisha
Walisema tumeachana nimeisha
Niliambiwa uko na huzzy hatuwezi mingle
Hmmmh, basi nimefurahi tena kubaki single

Jump on them huko Burma
Karao alikam lawama
Kendrick Lamar, shawty alihama na ni mama
Na akaniita baba
Nilikam kama Yesu juu ya ndama
Opps oponents wananiandama
2021 Yokohama Chelsea, Chelsea
Nilijua you're catfishing
Niliku-edit mara 10
I can predict unataka chicken, nyama!

All eyes on me, ju mi ni ndio ile kitu mmekuwa mkingoja nanii
Always with my gees, ju nina maninja wako ready kudie nami
So kama ni vita, mkae mkijua nitakuja kama nimejami
Kuzoza ni lazima, hauwezi kupima ju mi hutembea na magwangi

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, cheki zogo vile mi huwanga maitoka
Nishatoka nataka kupiga mboka, niko Vodka bado naruka ka Rosta
Mi ni badman vile natoka ni lazima u-run kumethoka 
Vile natoka ka chopper

Huwezi toka kumechange kama Gotham
Siwezi bonga ushadedi huko mocha
Mi ni mota napepeta nikitoka
Si na Munga tuko choche tunakuja
Siwezi cool down vile bado mi ni hotter
Niko zabe ju napenda gusu
Vile nachachisha huwezi niruhusu
Kungfu zile za sugu nakula Elani kama kuku, kuku

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo so mkinitry mnandonyo snitch
Rat kwa kijathe abwoyo
Mi nadai nyap mangwai na monyo
Kwa kilunje mang'ondo

Kama nyonyo ni ong'ong'o ni ong'ong'o
Hio kwa photo si bro bro ni promo
Umeskia Scar ni mbuzi we kondoo
Si art 7 kwa pussy roro

You go and ask them
Nani atengeza hizo maskan
Before tuanze kutenda we must plan
Ju kila wakirenga we hustling
You better believe this is how I live
Anyday anytime niko my gees
Sina ngwai on me na wanabamba riz
Mama had to text me 'baby hama please'

Make money off this hourly
My gee if you want me you halla me
My dick in your girlfriends gallery
My weed and my life that's on me 

All eyes on me, ju mi ni ndio ile kitu mmekuwa mkingoja nanii
Always with my gees, ju nina maninja wako ready kudie nami
So kama ni vita, mkae mkijua nitakuja kama nimejami
Kuzoza ni lazima, hauwezi kupima ju mi hutembea na magwangi

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Sina time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono
Time ya mdomo, time ya mdomo
Tukishindwa kubonga tutembeza mkono

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mdomo (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKUU MUSIC

Kenya

Wakuu Music is a kenyan music group based in Nairobi Kibera. ...

YOU MAY ALSO LIKE