Nyamaza Lyrics
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Yesu kwa msalaba ba alinyamaza
Matusi matusi mia saba alinyamaza
Hata wakikukera endelea kunyamaza
Utashinda umbea ukizidi kunyamaza
Usibishane na watu
Wakikuja sana nyamaza tu
Alichopanga Mungu tu
Haibadiliki itabaki tu
Vita vya maneno maneno usipigane
Achia Maulana yeah yeah usibishane
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Uwe mzuri sana bado utasemwa
Uwe mbaya sana bado utasemwa
Na usijinyime raha ha (Raha ha)
Sikiza Mungu tu Baba ba (Baba ba)
Jifundishe kunyamaza, kunyamaza
Utachoka kushindana, kushindana
Vita vya maneno maneno usipigane
Achia Maulana yeah yeah usibishane
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nifundishe kunyamaza, kunyamaza
Vita vyangu we pigana Yahweh, we pigana
Nifundishe kunyamaza, kunyamaza
Vita vyangu we pigana Yahweh, we pigana
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
Nyamaza, nyamaza
Achia Mungu nyamaza
Achia Mungu akupiganie iyee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nyamaz (Single)
Copyright : (c) 2020 EMB Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE