Home Search Countries Albums

Nikwa ni Shoke

KHALIGRAPH JONES

Read en Translation

Nikwa ni Shoke Lyrics


Unajua niliwaambia hii shughli
Hii shughli mi naifanya sai
Hakuna-hakunamambo ya kesho yaani 
Yaani uurgh, mi-mi aii rada
Rada ni ya, rada ni gani?

Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kee-eesho? 
Kwani ni kesho? (Haiezi kuwa kesho)
(Big shout out to Vinc on the beat btw)
Kwani ni ke (Whoop)

1,2,3 

Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)

Naifanya sai, kwani ni kesho?
Na nimetoka Far East utajuaje mi special (Woo woo)
Mayolo to Nai, need no question
We ni mama kayai so funga hio leso (Puss puss)

Bro na mi vessel, na naamini Yesu (Aii yeah)
Nadhani unamezea kwani ni kesho?
Na vile unajigas utadhani ni meko
Na ka si madollar, I be earning in pesas (Ching ching)

Swag ni shaggy, mdomo ni baggy (Mdomo baggy)
Najua hamnipendi (Uuugh kwenda) but heshimu kipaji
Mi ni ka Kibaki, bobo ka Kimathi
Usilipize kisasi utapigwa risasi

Na kwani ni kesho, usijifanye ka hujui
Shughuli ya leo, inafaa nimalize jo asubuhi
Na simu kama sio mboka, mi sichukui
Na Mungu naomba uzidi kunipa hawa maadui

So ka una shida si ubanje sai, kwani ni kesho
Na ka una deni we si unilipe, kwani ni kesho
Si mlitaka clout mi nishawapea, kwani ni kesho
Kwani ni kesho, kwani ni kesho?

Kwani ni kesho? 
Kwani ni kee-eesho? (Kwani ni Kesho)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho)
Kwani ni ke 
Kwani ni kesho kesho kesho kesho

Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)

Yeah ey I'm blessed, am blessed trust me (OG)
Young Jazz Harsh G
Kamlesh Patni, you can flex, mbwakni 
Hio slang ni yangu sai na najua nimewaboo
Na mkinirushia mawe mi huwa narespond na flow
Inakuwa mmenibebanga ndogo, Embakasi mi huitwa Kamotho
Tulianza na chipo za ngovo siku hizi keroma huletwa na Glovo
Mmekosa qualification na mnataka certification
Clout-chasing ndo kitu iko fashion
Na nyi wote bado ma new bie

Flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
Luku kasuku lakini ni safi kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
Jezi origi lakini natesa kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
So we nichukie but mi nakafunga kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)

Flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
Luku kasuku lakini ni safi kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
Jezi origi lakini natesa kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
So we nichukie but mi nakafunga kwani ni kesho (Kwani ni kesh

Kwani ni kesho? 
Kwani ni kee-eesho? 
Kwani ni kesho? 
Kwani ni ke 

Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho? (Kwani ni kesho?)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nikwa ni Shoke (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KHALIGRAPH JONES

Kenya

Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...

YOU MAY ALSO LIKE