Home Search Countries Albums

Mary Did You Know

VIJANA BARUBARU

Mary Did You Know Lyrics


Mary did you know
Economy yetu ni bottoms up
But vile mafuta taa inapanda ni crisis
Mary did you know
Wametuahidi hustlers fund
Bado tunangola laptops mashinani
Did you know
Kwetu tension zimepanda
The two thieves walisulibishwa na Yesu wako CBD
Kenya kuomoka ni kujuani si bidii
I’m not optimistic
Uncle akinitisha CV
Mary did you know
That your baby boys
That died in kajiado and meru were innocent
Mary did you know
Wuhan ilisimamisha dunia
Tuliumia ndio bado tunarecover
Did you know
Love is no longer winning siamini
Christmas imekosa meaning
Ni family gathering mbona umeleta wakili
Umeninyima sahani chakula unanipea ya nini

Ni 2022 Mary
Who would have known
Drought ingekuwa inatukimbia    
Litmus paper ya mapenzi ni thee pluto
Watu kukula spider sio miujiza
Picha tumechoma sana chimney imejaa moshi
Hakuna mahali santa anaeza ingia
Mary ile depression tumepitia ni mungu na meme lords
Ndo wametushikilia
Express way inaexpress madeni
Cost of living haitaki bargaining
Kwani maombi zetu ziko pending
Uliacha ku intercede ama kuliendaje mary
All i wish for is nisikose za chapo nikuwe na fimbo
Nipige sherehe kichapo
Nijiweze nipatie wengine support

Mary mother of the most high
Please take away my pains

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mary Did You Know (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

VIJANA BARUBARU

Kenya

V-BE is a music duo made up of Mshairi Spikes, a rapper with a great influence on poetry, and Tuku K ...

YOU MAY ALSO LIKE