Nice Lyrics
Kwa miguu miwili
Natembea kwa imani, imani
Kwa miguu miwili
Natembea kwa imani, imani
Kwa miguu miwili
Natembea kwa imani, imani
Kila day na nice
Na venye umenibamba we ndo Baba
Pour me, pour me, pour me
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
Wanasema money on my mind
My money on my mind
Nimegrow huwezi nipata
Na shilingi kwa kichwa
Gospel everytime ni injili kwa kichwa
Hii huwezi pata kwa vitabu Yesu ndie Ticha
Spiritual maturity, level twafika
Iwe by road ama air, tutafika
Mbali ni we, mbali ni we ni hakika
Tumechoka kula mogoka si tutapika
Unabii, unaload hii
Uunaload
Mi huskiaga fiti in the Lord
Fiti in the Lord
Kwako niko available
Ready niko ka Rambo
Sitishiki sibadiliki
Kinyonga sina colour mob, colour mob
Si natembea leo kwa imani
Si natembea leo kwa imani
Pour me, pour me, pour me
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
Kuwa naye niko relax mode
Niite lazy
Si I'm a parent yeah
Mi ni baba mlezi
Ju na crack jokes ka ngozi ya crocodile
Happy family, smile for the photo guy
Action louder basi don't talk
Kutembea na Yesu ndio ndoto
Kusifu Yesu ndo logo na motto
Ka ni uradi wacha mi nichome photo
Smile louder tunawaharibu maskio
I wanna reflect you si kashkio
Heard about face we ndo ulimask hio
Future iko bright tuko past hio
Umenipa bibi na, ukanipa wakidi na
Venye tunaishi na dishi za Idi si dinner
Bible mikononi nasoma we reading, reading now
Itabidi nikupe sifa na sifa za Idina
Si natembea leo kwa imani
Si natembea leo kwa imani
Pour me, pour me, pour me
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
Na vile umenice Jah, nice Jah
Na vile umenice Jah, nice Jah
Vile umenice, nice nice
Na vile umenice nice nice
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Nice
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE