Home Search Countries Albums

Jingle Bells

VIJANA BARUBARU

Jingle Bells Lyrics


Hizi ma aroma zinanimaliza
Vile tumefika this far ni miujiza
Oh my God, can you feel the love
Uncle yangu stingy anaongoza ushirika
Aunty wa harrier anachomeka na birika
Maguzo slay queen wanapigwa na moshi
Wamezoea gas leo upishi ni mafiga
Wazee wa boma kwa corner na muratina
Mbuzi imechomwa wanagoja sima yeah yeah
Majirani mmealikwa wote

Mungu amenibariki I’ll share
Ntajikosea nikiji compare
Walo enda mbele yetu nawaombea
Tuko lucky kuwa hapa sherehekea
Oh Mungu amenibariki I’ll share
Ntajikosea nikiji compare
Walo enda mbele yetu nawaombea
Tuko lucky kuwa hapa sherehekea

Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Nilisema last year
This year will be my year
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Ntaisema this year
Next year will be my year
Oh jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Nilisema last year
This year will be my year
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Ntaisema this year
Next year will be my year

Nadai kurise hadi nijisurprise
Nadai zinice hadi nijibaptize
Ka unadai kuleft block unaeza jail price
Ka ukona ufunguo ya lock mbona uko inside
Ukona time, kam na mimi kuna place tunaeza go
Tuchange twende coast mi nta adisia mado
Hii mwaka inakuja tuta don kipablo
Nikizima simu jua nipo site
Nikidunga shades future iko bright
Unaeza tell for a fact mi ni day nyi ni night
Vile nimepiga pamba klm mi ni mlight
Heavy weight how I pity your plight
Kuna law mi haubide with na kuna law me huchorea
Niite artiste da vinci siri zaidi ya iphone
Kwa marafiki me ni meme mi si icon
Tupatane mathare tukule nyama kia maiko

Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Nilisema last year
This year will be my year
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Ntaisema this year
Next year will be my year
Oh Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Nilisema last year
This year will be my year
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Ntaisema this year
Next year will be my year

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Jingle Bells (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

VIJANA BARUBARU

Kenya

V-BE is a music duo made up of Mshairi Spikes, a rapper with a great influence on poetry, and Tuku K ...

YOU MAY ALSO LIKE