Home Search Countries Albums

Debe na Debe Lyrics


24/7 ni debe na debe
Kuwanyonya ni kama maembe
Pale mochatha niko na karende
Kama Noshi na kina Kalembe
Cheki vile wanaruka kideke
Lamba lolo ikiwekwa kwa debe
Tingiza zote maringo usilete
Zikishuka ni mimi na wewe

Team Mariweng tumefunga na pete
Kuwaroga ni mpaka milele
Tunawakata kata ki machette
Tunashow hao madem wajilete

Weka hiyo maji kwa glass na ujaze
Hii ni ngoma mbichi wasambaze
Wakileta pupa tucharaze
Hakuna bet itabidi mkaze

Archives tukilandi kama ni vita kimanyandi
Niko na jeshi kubwa ya machizi na wote wako majani
Niko na big tings za madem omba si hii ni kipaji
Kama ni cladi sitambui bora nidunge malugz
Niko baze nimechill na mangati basi we kam polepole
Usijifanye mtamu leo na jana ulikula mandole
Usijifanye kavajo leo na juzi ulimeza vidole
Kama ni beat beat tunamada na hatusemangi pole

24/7 ni debe na debe toka mchupa uheme
24/7 ni debe na debe kwenye maki na madenge
24/7 ni debe na debe niko na rende Kabete
24/7 ni debe na debe kama si wera jibebe

Mistari ni mingi najaza hiyo debe
Fika na meza napiga kengele
Kama ni miti naachana na denge
Akifika tunabeba hiyo debe
Fika Kabete mtaa ya madenge
Anaringa hana sura ni lele
Kemba anashika wote na kelele
Sifungi macho nakuita tu Sele

Shika toto piga kitu ka dere
Hapo commercial manganya za tene
Fika kejani hajapiga kelele
Lazima alipe kitanda kelele
Dig dig dig dada kalungo femi ndo baba
Hii mtaa mi ni father kama ni beat namada
Fika Lang'ata unahalla, mimi mi ni choppa
Toka teke toka proper, sanse ni wengi na kanjo ni less

Kuzikinda ni mogoka, nganya zetu zina doba
Lipua jaba kirende Team Mariweng ndo genge
Doh zangu ni za ndenge, black white uko pekee
Chikisha gathee usiogope mathee yao tu ni kelele

Chapa ilale fukuza maigatho
Kama ikus inatupa
Kutu unatoa ni akili brathe
Kama huna form unatokwa

24/7 ni debe na debe toka mchupa uheme
24/7 ni debe na debe kwenye maki na madenge
24/7 ni debe na debe niko na rende Kabete
24/7 ni debe na debe kama si wera jibebe

Mi na rap combi flani hatari
Hatari hata kushinda njeve na nyege
Cheza na singoji rende
Cheza na mimi nadeal na wewe
Jebe na veve chorea wasenge
Kula matembe tools na veve
After sherehe niko kinenge
Pizza ndo nini, mala na sembe

Kama ni chain acha iende
Moshi safi inatufikisha heaven
Si ni wikendi mbulu ni Hi-Sense, 
Ni ka FIFA ongeza na teke 
Songesha idhaa, kama si mimi ni nani?
Msupa nilidhani ni nun ju alininyima pongi day 1

Siku hizi naipepeta pepeta ni kama ni soja wa Amiran
Kucheki ka ni oriji itabidi umeleta hiyo mali ni scan
Bazenga dadi magroupie ni wengi inafanya mahater wastand
Vile Ng'ang'a anasell mafans si heri nifuate dini Islam
Eh msupa anapenda mayai za mi nikipita si ni 'Hi Daddy'
Nikifika si wathii wanatii ndo ni apia nalipwa free
Niko na mbogi Jeri na D you can never be good as this
Breeder ndo king na nainsist, ka una noma call police

24/7 ni debe na debe toka mchupa uheme
24/7 ni debe na debe kwenye maki na madenge
24/7 ni debe na debe niko na rende Kabete
24/7 ni debe na debe kama si wera jibebe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Debe na Debe (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TEAM MARIWENG

Kenya

Team Mariweng is  a Music crew from Kenya made up of Topclass Smiley, Unco Jing Jong and 254 Je ...

YOU MAY ALSO LIKE