Fever Lyrics
Napenda ye ngeus anayependa party eeh
Party naa, Party naa, Party naa
Ngeus anipe fever overdose
Fever overdose, fever overdose
Fever overdose
Find a skipper si yeye ndo keeper
Kama gundi penzi limeshika
Nikiwa mbali yeye ndiye fever
Cheki vile kwake mimi nimejipa
Hizi funguo za roho tunza deeper
Usije ukanitupa kwenye pipa
Na tena usinipime na maziwa kama litre
Iwe dawa nataka usinipimie
Nikae naye kila siku niwe bibiye
Na hata nikienda nimrudie
Nipe donge nilishe tonge
Hii track ni bonge wacha wabonge
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
[Gwaash]
Watoto jo wa chekechea
Wakimea watamezea
Watajua kuitembeza sio fine
Rungu ibaki tu kwa ala mnapenda
Au sio tu mzing
Achio achio fever fever
Naskia kwenye koo
Na girla into my feet
Amemwaga my drink kwenye counter nampasha
Najua ananitaka lakini ndae anikataza
Kuwa fever kwa bazenga ka mimi ni lazima
[SlimFlows]
Fever nimewai wai, mtoto umevai vai
Leo tunaride ride wenye chuki bye bye
Slim CD changer tena bogibenda
Mtoto ashapenda mmmh
Mtoto Natalie, twende Kigali
Umenifunga kifuli usiku silali
Chakula sikuli wagenge maswali
Slim CD changer kwani unachizi
(Wiper)
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
[TrioMio]
Fever overdose
Kadimba ki Tony Cross
Madiva mi huwateka kimangots
Kameriet niko jing nashikisha na mangoks
Kushoto kulia ni genje ukikaribia
Nakwambia vile inasonga baadae nitapandilia
Naskia nimezidiwa na nyege ni kunyegezana
Nazama ndani ya nyama
Nachapa ngipo inambanya
Nai sa ndizi kusesana ni tizi
Ngwai na whiskey toa ng'ombe kwa zizi
Size kamili cheki height ya mini
Na hajavaa kamisi kuchokoza mafisi
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
Fever overdose
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Fever (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TRIO MIO
Kenya
Trio Mio real name TJ Mario Kasela also known as T.J (Thank you Jesus) or "Mkurugenzi ...
YOU MAY ALSO LIKE