Home Search Countries Albums

Vibes

PRO Feat. CURLZIN

Vibes Lyrics


Club imeshika 
Manzi katika rhyme za kapuka 
Vibe imejipa cab imefika
Manzi utanipa

Vibe zako true si unajuaa 
Na vile wee ni mtrue nshaamua
Everything I do for you mamuu
So leo ntakudo si tuendee kwangu

Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type
Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

Pro nipige intro beste yake ameweeza
Lazma tu ni flow kuenda solo haitaweza
Club imeshika manzi katika rhyme za kapuukaa
Vibe imejipa cab imefika manzi utanipaa

Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type
Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

I never put my hands in a cookie jar 
Sanasana ndani ya clubu kukijaa
Coz most of the girls ukua groupies 
Naa mi ni Pro si unajua spendi fitina

Na penda dame mfiti na peng ting hapendi fitina
Everyday me na yee tu ni thitima
Everyday holidays tuko fiti mehn 
Si uko fiti mah, cheki ju

Vibes don't lie and gangsters don't cry
Wanksters wakihate uku inje wacha wa die
Ndo tuwashow baadae, ndo tuwashow baadae
Si tuende show baadae, tupige mandom kwa ndai
Pardon me walai if u wanna f with the PRO 
Kuna condom apa kwa ndai

Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type
Ananipeanga vibes vibes kushinda Kartel
And she don't even know that she's a wifey type

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vibes
Ananipeanga vavavava vibes

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Vibes EP/ Vibes (EP)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

PRO

Kenya

Pro (real name Pro Namwaya) is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE