Home Search Countries Albums

Mratish Lyrics


(Black Market Records)

Drink up, drink up
Drink up, drink up
Sip from cup
Mrambe amesnap, mostly mali park
Riambez amesnap, dem res on mi cup
One tes alihurt, riambez on mi black
Riambez gaireta, wes pon bi black
Riambez wanna know, haffi load, haffi cock
Mrambe huwa ni tam , mrambe huwa ni tam

Mriambe hupikwa ndani ya drum
Huwa ni tam si kama cham
Hainanga hang'i hii si ram
Favourite ya ma madam

Hii si pombe ya haram
Nipate na cup nikijaza tank
Gunda ni so easy banana
Step ni ka ile ya kumake malala
Mtungi ya yellow ndio gala yeah
Hio neno nimeanza na
Mananasi maganda za 
Miwa ndone ka ndakala

After siku ka nei hivi nikingati ndani nafanana
Flavour flani ya Afya, Flavour flani ya Alfia
Afya, flavour flani ya Afya 
Flavour flani ya Alfia, Flavour flani ya Alfia

Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish

Mbota hadi ngepa sivai mbono
Niko mamoshi na songi sidai chaser
Nguna ana kwela namdigi na madigolo
Shingo ina bling swafi na mangoto kwa mkono

Kitanda full loaded, jaba ijazwe black paper
Mtungi imejaa ratish, hio ni tungi tumeitepa
Tambli na usdati, morio chain sijaihepa
Nywela sijai ndasu, na ndovu sijaiweka

Tuko mangwai na mi ni stepper
Itabidi nichange jo nishike ndae
Piga luku, piga mboka mdomo achia kwela apige
Macat, manyau hio ndo lola mi naeza fika
Si ya duka, si ya chaji
Si ya duka chambua wathii

Tatto umechafua sana
Sa jir hio ndo talanta
Hatubahatishi bana 
Si hapa ndo mafather

Una wapikni baba
Una wajuniour hapa
Hatulalishi hapa
Mbleina hapa utakang'wa

Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish
Wine ni ratish, wine ya mtaa mratish

Fine hakuna party bila wine
Drill ting genge napiga hadi grime
Crime polisi akibonga na mine
Nalipuka nikiland utadhani mi ni mine

Mi hukuwa solo najitime
Mzinga ililand akitaftaga lime
Crime ati tuko mbogi tunanyanya
Sanse alihang vile matoto ni nganya
Hakuna kitu wanaeza fanya
Macho ni red kama damu ama nyanya
Wao hutuita wanyama na wanyama 
Tuko nayo ni kuball ka Wanyama

Bado tuko miti ka wanyama
Gifta makaa sitambuagi lawama
Ah ah gifta makaa sitambuagi lawama

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mratish (Single)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SWAT MATIRE

Kenya

Swat Matire is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE