Nimekamatia Lyrics
Ndio, mwezi ulikwenda mbio
Nikifikiria nimempata atakaye nifuta moyo tope
Bila mafanikio la tishio
Ni uzuri wako na ndio mfagio
Hapa ukanisafisha mia kobe
Haina ubishi we ndo refa
Una kipenga mjanja umeniweza
Unanichanganya mpaka najazaga maji kwenye tega
Mmmh, ukweli nakwambia hata sehemu za kuchega najikuta mi nalia
Umenifanya utundu ukawaka na sio mpaka nilewe
Niliomba Mungu baraka ndio nikakupata wewe
Viuno vya pale na hapa nikadata mama wewe
Mama weee
Hey hey wala sikutaka nikichune
Ndio maaana nikaibuka ghetto na mitumba ya karume
Ukanipa mjani na apple na mi una paka shume
Na mi ukanigusa echo nikajua nimepata dume
Huh, so umefurahia kunipata mimi
Yes boo waeza niambie unataka nini
Niwapigie simu home wazazi niwambie kuwa nimepata pini
Yeah waweke wazi love tutajificha mpaka lini?
Yaani yalianza mapenzi sa inafuata doa
Usiwasikize washenzi siwapendi wanaboa
Tukitoka wikendi tunaspendi wanapoa
Tunatrendi home baada ya mambo mengi na koa
Thanks God kwa kumpata anaye nifaa sherie
Taabu mwanzo ila sasa naona takheri
Tambua kuwa moyo wangu sio kiboa kweli
Hasa navokupa muwa ulowazamisha meli
Je unanipenda? Ndio nakupenda
Hautanitenda? Sitakutenda
We umenitenda, hautonizingua
Huh! Kukikucha unanikumbusha kuwa kumekucha nikatafuta
Nikikosa mzuka nikipata twende kwenye fukwe
Na iko wazi changamoto zinapita
So ukinita naja unanifikisha sehemu nisizofika
Huh yes love nakupata
Real love ndo ina matter
Tumetoka mbali tunakwenda mbali
Kifuatacho sa ni mapacha
Tule tam tam swadakta
Yule nyoka aking'ata
Lile tunda matata nikitoka nawaka
Nawaka!
Sometimes ata siamini nimepata karata dume
Na mmiliki ni mimi
Ninavyokukamatia chini ile kiuno na nine
And you know what I mean
And I will always wanna see you
On the peak of your happiness
You are the king of the jungle
The lion the lioness
Unani-refresh najaa na bless
Yesa nabless(Warrup)
Yaani mbali mapen we mwoga mfresh
Nikiwa nawe nabend(Hey Warrup)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nimekamatika (Single)
Copyright : (c) 2019 Kiri Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE