Home Search Countries Albums

Kwa Ndae

KING KAKA Feat. KRISTOFF

Kwa Ndae Lyrics


Yes
Bu bu
Yah man
(Bern music)

Show kiraka asikaze mrembo
Nina ndovu leo pewa tembo namtura
Take away niya ten bob
Tuen up, leo basi lego
Imagine akuna mimba hutiwa na salamu
Sembe ya jana ina chongwa kaa sanamu, aie
Kumbe success nitamu
Seat back relax, enjoy filamu
Na mbosho imejaa kama taxin ya gokish
Au expe niko inje ki smokish waah
Sina ubaya naji seat ka sofa
Naingia clubu nikaa niko poster

Basi tweende ukanipee
Nikona maganji nikama ni holiday yeah
Tweende ukanipee
Uko pande gani ya city na usi delay
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae)

Nakam kiotero and I mean no harm now (nop)
Watiaji kwa rende yangu hamna (never)
Kris inadi ka una sizz ficha
Kris mauradi oh ma six figures uta thani
Kwa noah tuko 2 by 2
Vidole chini ngepa juu kwa juu
Kuwa shika design ya super glue
Mistari nyingi nina tupa tu
Basi dange, ni kaa ni compe flani najulikana
Uliza oh msee flani , Nataka kuwasha
Nika dozz tu mtaani rusha number kwa DM ndani

Basi tweende ukanipee
Nikona maganji nikama ni holiday yeah
Tweende ukanipee
Uko pande gani ya city na usi delay
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae)
(Holiday, oh ye ye
Holiday, oh ye ye
Usi delay
Holiday, oh ye ye
Holiday, oh ye ye
Usi delay)

Basi tweende ukanipee
Nikona maganji nikama ni holiday yeah
Tweende ukanipee
Uko pande gani ya city na usi delay
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Basi jisunde kwa ndae (jisunde kwa ndae )
Kwa ndae (jisunde kwa ndae)
Oh ye ye ye
Oh ye ye ye

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Happy Hour (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE