Chukua Lyrics

Sanaipei na niko na The beat killer
Ana mchezo wa kutisha zake si za kubahatisha
Akianza sugua utamwomba tamatisha
Mitendo yake chungu mzima
Aishi kunipinda pinda
Tukiyatamatisha maumivu yafika ncha
Akiniita, ooh najipa mzima mzima
Akiniita, sina fikira za kumnyima
Ana ile sitima yataka kuzimwa
Mi ndio mwenye kifaa ah
Ana ile sitima yataka kuzimwa
Mi ndio mwenye kifaa ah
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Haina haja kufungua pazia
Ye huenda kiza hadi kiza
Pandisha tu sauti kwenye spika
Majirani wasije kaskia
Zile sauti za raha ah ah
Zile sauti za ah ah ah
Akiniita, ooh najipa mzima mzima
Akiniita, sina fikira za kumnyima
Ana ile sitima yataka kuzimwa
Mi ndio mwenye kifaa ah
Ana ile sitima yataka kuzimwa
Mi ndio mwenye kifaa ah
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Naomba kipepeo, nipepee nipepee
Maji ya baridi, nipozee nipozee
Mafuta ya nazi, nipake nipake
Basi na pozi, twendelee twendelee
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
Chukua nampa, chukua nampa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nabo (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SANAIPEI TANDE
Kenya
Natasha Sanaipei Tande, better known as Sanaipei Tande or simply Sana, is a Kenyan singer, songwrite ...
YOU MAY ALSO LIKE