Najuta Lyrics
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Nilitega sikio mtaani kasikiza za wasengenyaji
Eti yeye na yule wana uchumbaji
Bila hata kujali
Au kuuliza maswali
Niliyaamini maneno nikamuaga kwaheri
Miezi ni kadhaa ah ah
Nami nalia ah ah
Ningemrudia aha
Lakini nna tatizo ooh
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Nilifunga virago vyangu vyote
Kuamua sitorudi kamwe
Kwani yeye na yule walinifadhaisha
Lakini kila wasaa
Napata nikimwaza
Ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha
Miezi ni kadhaa ah ah
Nami nalia ah ah
Ningemrudia aha
Lakini nna tatizo ooh
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Nnaye anipenday
Na anifaaye
Lakini hata afanyeje
Halingani nawe
Naomba msamaha
Kwa kukukosea
Wengi watasema
Usiku watalala
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
Kukosana naye kutengana naye
Kuachana naye ooh mimi najuta
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Najuta (Single)
Copyright : ©2019
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
SANAIPEI TANDE
Kenya
Natasha Sanaipei Tande, better known as Sanaipei Tande or simply Sana, is a Kenyan singer, songwrite ...
YOU MAY ALSO LIKE