No Vybes Lyrics

(Eyuh Chino you again?)
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Just receipts zako ni vibes izo sare
Ati hizo mameno za yellow ni mangale
Ushaiji find situation una kingwelo bila nare
Siku hizi hadi wanakuuzia bale wasee wa maremare
Leo network blunder poor connection
Mbleina kwanza alikulwa kwa warosho
So ka una kigode nina nare
Hizi sides utaambiwa ati marengwa ni ngware
Ka ki- uCorona si usare
Yuts hadi wa leo mahali tumekalia ni kwa mawe
Network blunder poor connection
Network blunder poor connection
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Unajiringa unajipenda
Na kama ni salamu hope uko very kwenda
Waste of time hata vile unajiona
Na wish hata heri mzae wako angeinyonga
Blessings zaidi wananiwish me grandpa na nyanya
Treat a woman proper niliambiwa na mama
Enda pharmacy mi ni mtoxic dawa ya panya
We ndo manzi tunaishi bila kukudanganya
Nina macrispi sema nose blow
Merry Chrismas santa northpole
Mandem just kidding ni watoi
Government building uncle tall
Ilibaki niwatoe
Wazee na wagomatha wanacry
Extrajudicial killings za kina Hessy ziwe nadra
Walivamia inspekta flani alikuwa incharge of murder
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
Tuko stuck hizi streets
Tunasaka mulla tangu noonlight
Ushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinuna nuna
No vybes just receipts
No vybes just receipts
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Exposed (Munga's Revenge) (Album)
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/ Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WAKADINALI
Kenya
Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...
YOU MAY ALSO LIKE