Home Search Countries Albums

Vimodo

ROMA MKATOLIKI Feat. MKWAWA

Vimodo Lyrics

Watu wanapenda vimodo (vimodo vimodo vimodo)
Nyama flmai sio nyingi (vimodo vimodo vimodo)
Kishepu flani cha kimiss (vimodo vimodo vimodo)
Umbo flavian matata (vimodo vimodo vimodo)
Shepu flani kama la zuchu (vimodo vimodo vimodo)

Ati avae nini asipendeze na usiombe ayalegeze
Anavyoringa anapenda adekezwe yani fundi mahaba usiulizee
Ukimbeba anabebeka anabebeka
Mi napendaga vile anadeka anavyodeka
Ka mwendo kama anadondoka anadondoka
Nyama ipo karibu na mfura yaani tamu

Watu wanapenda vimodo (vimodo vimodo vimodo)
Nyama flmai sio nyingi (vimodo vimodo vimodo)
Kishepu flani cha kimiss (vimodo vimodo vimodo)
Umbo flavian matata (vimodo vimodo vimodo)
Shepu flani kama la zuchu (vimodo vimodo vimodo)

Kamwili kake kipotabo ni mifupa tu
Kitandani tukikaaga anajituta juu
Namwita honey adoado anitaa tattoo
Kifuani kimodo kanichora tattoo
Ana shepu ka dayna mpole kany sura ka zayna
Kifua kama eh
Yuko ex acha atambe sio kasi ata mchambe
Ni mwepesi kamshange nikibless tu pambe
Kiuno chembamba na nikijaza shanga juu
ya kitanda na usiombe akipaga msamba
Yaani ana mbambamba na ndio maana anatamba
Mi ni soja ila kwake nimevua magwanda

Watu wanapenda vimodo (vimodo vimodo vimodo)
Nyama flmai sio nyingi (vimodo vimodo vimodo)
Kishepu flani cha kimiss (vimodo vimodo vimodo)
Umbo flavian matata (vimodo vimodo vimodo)
Shepu flani kama la zuchu (vimodo vimodo vimodo)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2023

Album : Vimodo (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ROMA MKATOLIKI

Tanzania

Roma Mkatoliki is a musician from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE