Home Search Countries Albums

Mimi ni Nani

ROMA MKATOLIKI

Mimi ni Nani Lyrics


Mna ikumbuka ajali ya M-vi bukoba
Chanzo ni mimi nikaua watu elfu moja
Hata nyerereh hakufa kwa kansa ya damu
Mna jidanganya na wengi hamja nifahamu
Nilimuua mwalimu kuko uingereza
M-vi spice ile ajalii nilitengeneza
Na hata luluh ni bure tuu mlimfunga
Mimi ndo niliyemuaa marehemu stivini ka-numba
Kuna muda ikigoma sumu naua kwa kisu
Kipindi niko Dodoma nilitaka kumuua lee-su
Kila mkoa kila nchi netembea
Nilienda Africa kusini nikamuua n’ngwea
Malaria ilimuua ranga sieti eeh
Kweli hamnijui mi ndo nimemuua yule mwamba
Lusanga muheza tanga
Mna ikumbuka ile ajali
Ya sharow mi ndo niliye pindua ile gari
Na mkuu de nika muacha azuge tanga nika mfata udee udee
South wakasema si uje na huku umuue rhuge
Sikufanya ajizi nika mfata mchizi
Je nani anae fatia saa hizi
Mimi ni nani ? israel mto roho
Mi sio israel
Mimi ni nani ? we ni mungu basi
Mi sio mungu
Mimi ni nani ? labda mtume au Yesu
Mi sio hao
Mimi ni nani ? we ni ni ni ni
Je mi ni nani ? mwenzetu basi jambazi, sio jambazi
Mimi ni nani ? we ndo kifo mwenyewe
Mi sio kifo
Mimi ni nani ? shetani we pepo tokaa
Sio shetani
Mimi ni nani ?
Mimi ni nani ?

Hivi mnashani mi naumia nikiwaona mnalia
Ama mnadhani mi nahofia nikiona mna fear
Je mi ni nani au mnadhani mnaweza nizuia
Haiwezakani nawaambia hadi niimalize dunia
Sina mipaka ndomana nikautoa uhai wa mkaa hapa
Na mpaka mnazika sikusita tena kumfata maguu
Na nilihua na ghadhabu nika ondoka na roho yake
Na nchi nzima ika staajabu
Dan du, comp lex, bar nza VV
Maize B, Je B, comba jiz
Niliwaua watanganyika wakalia
Hata bee kidude maalim safe wazanzibar waliumia
Mbalamuenzi nilimuua usiku sana
Samwakweli sikutaka kumuuaa mchana
Kwa mzee majuu to sikutaka kutumia bunduki
Wengi hamkumbuki jinsi gani nilimuua sir juky
Ndomana mnayasingizia maradhi
Eti corona come on, mi ndo nime muua ki jahazi
Na hata ukisema eti unikwepe njia hii hupiti
Wengi wamenikwepa coco beach nime waulia kibiti
Je mi ni nani? Au ndo Yule tunaye mngoja
Mi sio huyo
Mimi ni nani ? kiama mwisho wa dunia
Mi sio  kiama
Mimi ni nani ? mmh ma’ke hapo nikae kimya nisije nika fuata mimi
Mimi ni nani ? we ni ni ni ni
Mimi ni nani ? mmh mwenzetu basi jini
Mi sio jini
Mimi ni nani ? we ndo roho mwenyewe
Mi sio roho
Mimi ni nani ? we ndio nafsi ya umauti
Mi sio nafsi
Mimi ni nani ?
Mimi ni nani ?

Mna kumbuka vituko vya ma-saw gange wa be-le
Mna kumbuka ajali ya kivuko chaM-vi nyerereh
Mi ndo niliyemuua Yule mrembo nika zamisha kile chombo
Ajali segera mombo ni mimi na sio uongo
Ukweli nakupa mi ndio niliyemuua amina chief hooper
Hadi baharini naibuka nan do pan-chow nika mkuta
Nika ondoka na uhai wake tena papo hapo
Miezi mine nika muua zee ler na siku ishia hapo
Sichagui jinsia uwe shujaa uwe na kasoro
Ndomana nika muua see pwa hata ma under zo row
Uwe viongozi wale wanao pendwa na wengi
Ndomana nikaua ruaha katare nikaua na mwengi
Wengine naulia hospitali nawaua kinyonge
Mna zisingizia ajali mnasema ni pombe
Sijali mna jichanganya ndomana nika muua ki bornday
Mna jidanganya mi naua hata mmeze vidonge
Huwa nacheke nikiona mna isingizia ngoma
Nasema bado hamja nijua nab ado mtakoma
Na ili ujue kua mimi yani mimi hapa noma
2002 nilimuua baba yake roma
Je mi ni nani ?

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Mimi ni Nani (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ROMA MKATOLIKI

Tanzania

Roma Mkatoliki is a musician from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE