Home Search Countries Albums

Weka

GNAKO

Weka Lyrics


Enyi wakabana mimi ndio ndizi banana
Ninakabana usiku mpaka manyana
Nyie mnaita fall in love, mimi sijielewi ila
Nimekwisha mkangavu ma, ninakaba kila safu ma
 
Eeh wakabana mimi ndio ndizi banana
Ninakabana usiku mpaka manyana
Nyie mnaita fall in love, mimi sijielewi ila
Nimekwisha mkangavu mah, ninakaba kila safu ma
 
Wekapo, tena anawekapo(aibu)
Wekapo, tena anawekapo(aibu)
Wekapo, tena anawekapo(aibu)
Wekapo, tena anawekapo(aibu)
 
Na vijisenti vyangu namwaga
Uno kama unataga
Kwa chini mi navimwaga
Ooooh gal we ni shida
 
Heshima kwa mama yako imesimama
Umenishika, kitaki zimenachua imesimama
Wahuni wanapanda mnazi
Picha zako ghetto mi nadata
 
Mavitu yako huko huko Insta
Masnapchat wanadata
Nimekwisha kabisa
Moyo wangu umesimama
Siri zangu ma unazo
Password nimekupa na
 
Enyi wakabana mimi ndio ndizi banana
Ninakabana usiku mpaka manyana
 
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
 
Digaga nifupande(Pande)
Wacha mizuka ipande(Pande)
Ukitokea nigande(Gande)
Kitandani unikande(Kande)
 
Uuuuuii, buno la kwenda
Eeeh uno mlenda
Kisa cha kwenda
Eeh toto la kwenda
 
Enyi wakabana mimi ndio ndizi banana
Ninakabana usiku mpaka manyana
 
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
Wekapo(aibu), tena anawekapo(ooh gal)
 
Twende...twende

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Weka


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GNAKO

Tanzania

G Nako Wara Wara is an artist from Tanzania. Owns Weusi Company. ...

YOU MAY ALSO LIKE