Inauma Lyrics

Nikikumbuka kiatu nabaki nalia du
Najua mengi wataongea
Mola wangu nipe uvumilivu
Kuna mengi nyuma pazia
Nasema oo Mamu mke wangu
Vipi atoke na ndugu yangu
Ooh mke wangu
Leo namwita shemeji yangu
Kweli kuo huyaoni Meja najionea
Mwenda pole hajikwai
Mengi yaliyotokea siwezi simulia
Maana niko hoi mmh ah
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Mwenzenu inanitoa roho
Jamani inanitoa roho
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Huruma na roho, inanitoa roho
Jamani inanitoa roho
Si hoi kaka niteseke
Nirudi Temeke
Kwenye nyumba nitoke
Niadhirike
Pale menaja anapokuwa boss inauma
Kisa kijali mpaka matusi inauma
Pesa kidogo nifungue kesi inauma
Nampaka Venture siaminiki inauma, inauma
Chawa wa boss anadai uridhi
Pia aolewe tu, chawa mambo leo
Kweli mjini kuna mambo
Mchawi shobo zako tu upewe funguo
Kweli kuo huyaoni Meja najionea
Mwenda pole hajikwai
Mengi yaliyotokea siwezi simulia
Maana niko hoi mmh ah
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Mwenzenu inanitoa roho
Jamani inanitoa roho
Huruma yangu na roho
Huruma yangu na roho
Huruma na roho, inanitoa roho
Jamani inanitoa roho
Venture TZ
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Inauma (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MEJA KUNTA
Tanzania
Meja Kunta aka PARISH LAWAL is an artist from Tanzania. Singeli artist at Uswazi music. Me ...
YOU MAY ALSO LIKE