Wamoto Lyrics
(Moko!)
Kama sanamu ukicheka
Una sura ya mdoli
Siwezi kuneng'eneka
Kwako mateka kigoli
Na sipagawi kiunoni shanga
Umbo umejaliwa
Uko kibada nitauza shamba
Ama ushanunuliwa
Usije tanga tanga kwa waganga
Mwisho ukaibiwa
Mpaka varandani tulicheze vanga
Toto amejaliwa
Mi natamani kumshika (Wamoto huyo)
Asa nikimuona (Wamoto huyo)
Akikatiza kwa mtaa (Wamoto huyo)
Moyo unanisonona (Wamoto huyo)
Tena alivyoumbika (Wamoto huyo)
Toto nyama kanona (Wamoto huyo)
Sasa mimi nitafanyaje (Wamoto huyo)
Naishia kumuona (Wamoto huyo)
Anakomesha sista duu
Wanamuita mama yao
Namtamani kwa bedi tuu
Kanikomesha kwa viwalu
Hayo macho ukimwona
Kama amekula kungu
Alipofumuka anashona
Huko nyuma kama nundu
Na sipagawi kiunoni shanga
Umbo umejaliwa
Uko kibada nitauza shamba
Ama ushanunuliwa
Usije tanga tanga kwa waganga
Mwisho ukaibiwa
Mpaka varandani tulicheze vanga
Toto amejaliwa
Mi natamani kumshika (Wamoto huyo)
Asa nikimuona (Wamoto huyo)
Akikatiza kwa mtaa (Wamoto huyo)
Moyo unanisonona (Wamoto huyo)
Tena alivyoumbika (Wamoto huyo)
Toto nyama kanona (Wamoto huyo)
Sasa mimi nitafanyaje (Wamoto huyo)
Naishia kumuona (Wamoto huyo)
Mi bado sijatulia (Nazichanga changa)
Usipagawe jina (Nazichanga changa)
Nitaunda hata rubia (Nazichanga changa)
Ili kukata bima (Nazichanga changa)
Nafanya tu nikupate (Nazichanga changa)
Ili niwe na wewe (Nazichanga changa)
Afya nikuvishe pete (Nazichanga changa)
Uje nyumbani Kinole (Nazichanga changa)
Baby!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Minitape EP (EP)
Copyright : (c) 2020 Billionaire Kid
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE