Home Search Countries Albums

Nata Lyrics


Nnzi kufia kwenye kiponda si haramu
Lengo isiwe fimbo
Usiweke furaha kwa kivuli tu
Ivi itakuwaje ntapetape
Na mwenye nacho upo
Sitaki vita baridi
Nichimbe upendo bandia
Neno la mbali kwetu ni usiku wa kiza
Usiombee penye ukimya mshindo utokea
Ms’iba wa wengi si kama sherehe
Tukiachana tufanye sherehe basi
Niamini mimi
Sumu fundo la rohoo
Unajua nakupenda (we nataa)
Basi unaringaa (we nataa wee)
Kuna wengine wanatamani (we nataa)
Watakuja kuzima (we nataa wee)

Muosha ustli maiti
Ndo kwenye siri unapo nisaliti
Mteuzi eshi tamaa
Ushindwe majani ule nyama
Nimekubali weka mikono juu
Siwezi siwezi wewe
Hatupimani ubavuu
Tusishindane kwa makuu
Nshaweka nembo
Usigeuze lengo
Msiba wa wengi si kama sherehe
Niamini mimi
Sumu fundo la rohoo
Unajua nakupenda (we nataa)
Basi unaringaa (we nataa wee)
Kuna wengine wanatamani (we nataa)
Watakuja kuzima (we nataa wee)
We nataa wee, we nataa wee
We nataa wee

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Fundi (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RICH MAVOKO

Tanzania

RICH MAVOKO is  a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE