Home Search Countries Albums

Mbali Lyrics


Basi tunafurahia
Kumbe bwana umesha jibu
Nikushukuru ulivyo nivusha kwa lile lile tatizo
Sio mwingine ni wewe kwanza
Leo mi sina ubishi
Wa kazi zako kilicho nileta hapa nikushukuru
Mengi huja na kupita
Ila sio wewe Yesu hujawa, hujawa jawahi nipita

Aaah umetoka name (mbali)
Ukanileta toka (mbali) mmh
Ukanitunza toka (mbali) yeeh
Nakupenda
Unaweza ukiwa (mbali)
Unatenda toka (mbali) mmmh
Bado we ni mungu uko (mbali) eeh
Nakupenda

Upendo wako si maneno tuu
Upendo wako ni matendo pia Baba mwanao
Leo niko na sentensi, ambayo
Nataka malizia, ooh lakini
Sina hakika na kalamu yangu Baba kama
Yaweza maliza andika
Sifa zako my God
My God chinedumo
Wafariji wana farijiwa nawe, ooooohh
Watia moyo wanatiwa moyo na wewe
Hii yote yaonyesha wewe ni mkuu
Nakushukuru

Wanijua toka (mbali)
Umenilinda toka (mbali)
Umeni  tunza toka (mbali) eeh bwaba Yesu
Nakupenda
Upendo wako ni toka (mbali)
Matunzo yako nitangu (mbali) bwana
Na utanipeleka (mbali) eeh bwana
Nakupenda
Umetoka nami (mbali)
Kanileta toka (mbali)
Mmmh kanitunza toka (mbali) heee
Nakupenda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Niku Mbuke (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

JAPHET ZABRON

Tanzania

Japhet Zabron is a gospel artist, singer, gospel songwriter and a guitarist from Tanzania a mem ...

YOU MAY ALSO LIKE