Home Search Countries Albums

Upo Single?

RAYVANNY

Upo Single? Lyrics


Sound boy
Nazder

Wambea andaeni bundle
Fungeni mttambo
Na ma ex mkae kando
Mungu amenipa pambo
Mwanambe hana kasoro
Ukimpendaa
Mwanamke hanga mapungufu 01
Ukimpendaa
Hilo komwe ataficha na wigi eeh
Umbo sio lazima kuzidi eeh
Iyo rangi amerithi kwa bibi
Kwanini ajichubuee
Mbaya kwenu kwangu ni uwaridi eeh
Hatakama sauti zamaridi eeh
Nimeoa mimi wala sio kiyyi
Kwalyo msinisumbuee
Ety mbona hana shepu
Ni wako embu acha shobo
Mbona havulli
Ni wako nasema acha shobo
Ona ni mfupi
Ni wako embu acha shobo
Ety mbona ni mbaya
Ni wako nasema acha shobo

Upo single
Hapana nishampata wangu
Yuko wapi
Huoni mzuri twaendana
Upo single
Hapana nishampata wangu
Yuko wapi
Huoni mzuri twaendana

Nafurahaa
Sikuizi nacheka sana
Hata shavu limetoka nimejipata
Majerahaa
Mambo ya kunyanyasana
Ngozi ili kongoroka sasa nimetakata
Napewa mahanjumali maziwa fresh
Nisipokula matunda napewa kesi
Anavyonijali utasema nesi
Aaahh shemeji yenu kiboko
Usiku nalazwa mapema sina stress
Naamshwa na vibunda ma cash cash
Poleni ma ex ex
Kina desh desh
Aaahh shemeji yenu kiboko
Ona make up kwa sura
Wee nani hasema hajapendeza
Nguo zimenyooka ka ruler
Wee nani kasema hajapendeza
Nywele mtindo koma ashura
Wee nani kasema hajapendeza
Basi geuka kidogo ka chura
Wee nani kasema hajapendeza

Upo single
Hapana nishampata wangu
Yuko wapi
Huoni mzuri twaendana
Upo single
Hapana nishampata wangu
Yuko wapi
Huoni mzuri twaendana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Upo Single? (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RAYVANNY

Tanzania

Raymond Shaban Mwakyusa (born 22 August 1993), better known by his stage name Rayvanny, is a Tanzani ...

YOU MAY ALSO LIKE