Banjuka Lyrics

Nah nah nah nah nah
Hello uko wapi baba
Naomba niskize mimi mwanao
Mbele zako hapa naona niimbe
Wale walisema ridhiki saba
Ila yangu kwa muumba
Nashukuru Mola
Unanipenda roho yangu waichunga
Mangapi ninapita njiani
Hata usiku ikilala
Daddy penzi lako la dhamani
Uko nami kila mara
Nani mwingine mi nitoe wapi
Shukurani eh, sina lingine jamani eeh
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu
Unanipenda, mi nabanjuka tu
Hutonitenda, mi nabanjuka tu
Banju, banju, banjuka tu
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu
Unanipenda, mi nabanjuka tu
Hutonitenda, mi nabanjuka tu
Banju, banju, banjuka tu
Kusifu siku zote za kalenda
Ni wajibu wangu sikani
Nikitafakari yale yote umetenda
Wakulinganisha sidhani
Ulonipendaga zamani
Ukawa ngao yangu vitani
Kiongozi wangu maishani
Ulinifia msalabani
Lipi niseme, moyo wangu ujenge
Na wagonjwa waponye waeneze injili iende
Lipi niseme, moyo wangu ujenge
Na wagonjwa waponye waeneze injili iende
Nani mwingine mi nitoe wapi
Shukurani eh, sina lingine jamani eeh
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu
Unanipenda, mi nabanjuka tu
Hutonitenda, mi nabanjuka tu
Banju, banju, banjuka tu
Oooh baba yangu mi nabanjuka tu
Unanipenda, mi nabanjuka tu
Hutonitenda, mi nabanjuka tu
Banju, banju, banjuka tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Tam Tam (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PETER BLESSING
Kenya
Peter Blessing Singer,Performer and Song Writer from Taita Taveta County. Discovered by Bahati. ...
YOU MAY ALSO LIKE