Home Search Countries Albums

Unanifaa Maa

OFFICIAL BIGI Feat. MAKAVELI, FATTY

Unanifaa Maa Lyrics


Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Baby poz honey come close
Now u know vile nakulove more
Achana na Tanasha mimi kwako nishafall
Nafurahia sana nikiwa nawe just close
Down low, bae take me down low
Nipeleke na rieng tuchachishe kwenye floor
Let me be open my mind umeiblow
Your love is soo strong
In my heart imegrow
Hubby I wont betray you ever
Instead ntakupenda forever
I promise not to
Listen to the haters
Hakuna mwengine
Tu ni we ndo napenda

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Umenipagawisha
Already ushanichizisha
Photo moto poz beb
Nikupige picha
The way I love u
Hisia zangu mi siezi ficha
Achana noti flow
Ju kwako ye haezi fika
Bumper to bumper
I mean tit is for tat
Yako mahaba
Unayonipa nafurai
Its a long time
Nimemiss yako smile
Tabasamu kiasi u r
The end of my eyes
Unifaa maa
Hisia zangu umezikaba
Njoo nikupe tam tam
Niko full mahanjam
Come uone masham sham
Nipe denda kwa shav shav
Koromeo chini ukieka
Doa tu kwa my love

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Nipromise utanipenda
Kamwe hutonitenda
Every night kunidekeza
Nkinuna wanibembeleza

Achana na ahadi
Mi sinaga fake promise
Relationship yetu
Its a unique love story
Nikuvishe pete
Nikufunge tu moyoni
Waache waongee jifanye
Kama huwaoni

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Unanifaa maaa
Nikiwa nawe mimi nafuraha
Penzi lako maa
Kusema kweli umenipagawisha

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Unanifaa Maa (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Official Bigi

SEE ALSO

AUTHOR

OFFICIAL BIGI

Kenya

Official Bigi real name Ismail Kombo Kea (born June 2000)  is a Kenyan artist, trapper and a bu ...

YOU MAY ALSO LIKE