This Kind of Love Lyrics

Oooh love baby
Nahisi umenifunga kokoro
Nahisi umenifunga minyororo ya mahaba
Ata kwenye giza totoro beiby
Nachohitaji ni uwepo wako na ni sawa
We ni Juliet mi Romeo
Leo kesho, peponi yeah yeah
Sikio ushafunga kwa komeo yao usisikie
Wabaya wanasema hunifai(Hunifai)
Wanasema eti huna hadhi nami(Nami)
Kwenye hili penzi nina imani beiby
Wabaya wanasema hunifai(Hunifai)
Wanasema eti huna hadhi nami(Nami)
Kwenye hili penzi nina imani beiby
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa hela
Of love, of love
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa sponsor
Of love, of love(Love)
Ipo radhi nite-niteketee
Mama nite-niteketee
Kwa lako huba la dhamani
Lako huba la dhamani
Ipo radhi nite-niteketee
Mama nite-niteketee
Kwa lako huba la dhamani
Lako huba la dhamani
Wabaya wanasema hunifai(Hunifai)
Wanasema eti huna hadhi nami(Nami)
Kwenye hili penzi nina imani beiby
Wabaya wanasema hunifai(Hunifai)
Wanasema eti huna hadhi nami(Nami)
Kwenye hili penzi nina imani beiby
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa hela
Of love, of love
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa sponsor
Of love, of love(Love)
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa hela
Of love, of love
This kind of love(Aaah)
Of love
Hautoipata hata kwa sponsor
Of love, of love(Love)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : This Kind of Love (Single)
Copyright : (c) 2019 Just In Love Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE