Ushasema Lyrics
Ushasema, ushasema, ushasema
Aaah ushasema
Niliiba mia kwa mum ushasema
Jaba round one nakam ushatema
Ulimchocha round one ushahema
Simba Dangote alimtenda wema
Akanenda zake hivo ndo wao husema
Tenda wema ah nishasema
Nilimpata dem mkisii ashasema
I love you toa tufanye ndani ya hema
Design nilihema kuzitoka
Ni kitu siwezi sema ju buda ni kimbokta
Mganga anasaka love doctor
Siri ya mtu mbili ndo kitu usiwai sema
Ati wasanii hukula madem waraia
Tabia pimbi heri kukuwa malaya
Pombe huwa tamu sana kama hujachanga
Aah ushasema
Ushasema ushasema ati father huwa ngori
Ati father unapendaga sana mashawty
Kibugubu niseme sina mastory
Ati sinanga worry, ati shika magoti
Ati hii nawachoma kilava
Ati nishushe kinyasa uone yangu panga
Unipee yako tu na ndo upate hii bunda
Aah ushasema
Tuko sherehe haina ukibira monde, ushasema
Waiter ongeza pombe, ushasema
Agiza usikae kinyonge, ushasema
Aah ushasema
Manze nimepata Don nataka kuwachokesha
Hakuna kulala magodoro tumeshaloweka
Eeh tumeshaloweka
Semeni wapi leo twende wapi? Wapi?
Kwenye form wapi tukaparty, wapi?
Tukafanye usherati, rati
Eeeh lovebite
Carolina pigia mabeshte
Waje tulewe tunywe tukeshe
Wa Kinondoni lala Temeke
Ukila fare nitakupiga kamote
And ma dover week got all money
Me galdem she got a flat tummy
And ma dover week we pon shining
Bad gyal she a move her body
Cheki vile mi nakam thru'
Cool a dance ya Kibantu yeah
Rieng bad ya mabazu
Mbleina naye apige 1, 2 yeah
Washasema mi huziosha
Nawafunga kama nut bila washer
Kuwateka ndio mboka
Mali safi ndio tunarokota
Tuko sherehe haina ukibira monde, ushasema
Waiter ongeza pombe, ushasema
Agiza usikae kinyonge, ushasema
Aah ushasema
Madem wa campo wanapenda wababaz
Naskia ikivalishwa hainanga ladha
Hatuwezi enda sherehe si before kuchanga
Usinicross namanga ya wenyewe ina ladha
Aah ka niko high lazima nikuwe high
Nyamachoma hunifanya nifurahi
Kijana si rahisi na bado kiboko namwahi
Siwezi jipata moody mi sikuwangi na vice
Kunyonga ndo kujifanya
Ego ninayo hainiruhusu niingie kwa chama
Naskia cupid ndo Lava Lava
Nilipose selfie naye ngeus akanipa namba
Sherehe haina ukibira monde, ushasema
Waiter ongeza pombe, ushasema
Agiza usikae kinyonge, ushasema
Aah ushasema
Sherehe haina ukibira monde, ushasema
Waiter ongeza pombe, ushasema
Agiza usikae kinyonge, ushasema
Aah ushasema
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ushasema (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KRG THE DON
Kenya
Krg The Don aka Lobos whose real names are Karuga Kimani ( born January 14, 1991) , is a ...
YOU MAY ALSO LIKE