Aaw Baby Lyrics
B Classic 006
TV yangu ya mgongo baby come tukawatch
Sina Bima wala Mark X na baskeli ni ya mti
Kidogo nachopata nile nawe nakupenda sana si unajua
Hata waseme niachane nawe kwako ndo nimeshakuchagua
Unanipa vinono kwingine nitake nini
Mwendo wa jongoo jongoo ikigusana mwili kwa mwili
Kama mapenzi bidhaa wengi wangenunua sana
Na ningekuwa na kagari mimi ningekupa mama
Aaw baby sema, I do
Chochote unachotaka I do
Aaw baby sema, I do do
Na kama kukupenda, I do
Aaw baby sema, I do
Chochote unachotaka I do
Na kama kukupenda, I do do
I do
We oga twende kanisa
Leo ni siku yetu cherrie
Na mara nikuhalle mimi
Tukule na kiapo baby mbele ya waunini wote
Tukitoka hapo baby wakunywa wanywe wabebe
Wajihisi wapo kiwanja cha ndege hakuna kulewa mbege
Ukienda chain basi leo ujibebe
Ukienda chain basi leo ujibebe
Na penzi lako sio la vocha
Ya kwamba kila mtu atanunua
Umenifanya niwe kocha
Huku mjini ndo natanua
Kama mapenzi bidhaa wengi wangenunua sana
Na ningekuwa na kagari mimi ningekupa mama
Aaw baby sema, I do
Chochote unachotaka I do
Aaw baby sema, I do do
Na kama kukupenda, I do
Aaw baby sema, I do
Chochote unachotaka I do
Na kama kukupenda, I do do
I do
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Aaw Baby (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE