Nganya Lyrics
(Alex Vice)
Kamagera na mblein
Mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
Macho ni nyanya
Nilimshow afanye kitu anaweza fanya
Alitujaribu drama
Bana ikabaki ameweka lawama
Pesa nyang'anywa bila kudanganya
Ofcourse alipigwa manganya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
Drama ndani ya nganya ya 5/8
Makanga alipigwa na hook na teke ya Size 8
Full in feelings na mahisia
Umekuja kunishukishia
Bondea kama sura ni za kutishia
Na tunadondokea mat tukiishia
Jeshi imezoea kukula haramu
Name it explosion
Take precautions, anti social
Nyongi nasare (Nyongi nasare)
Nusu ikibaki naigeukia ngware
Mbogi ni nare (Mbogi ni nare)
Nusu ikibaki kuwapiga vibare eey
Eey I'm running the hood
Ungemi Eastleigh to Bangu
No body be plug
Whatsapping in the streets
Ka haipitii kwangu
Chapa na Chok, shada na coke
Monday na talk
Kaa rada ya cops, koto wanakata malocks
Top badder than most
Kusema na kutenda
Kikidhani nacheza
Weka hio meda
Niki uredaa
Eey mpaka wa leo
Kamagera ameweka lawama
After hapo alipandishwa cheo
Siku hizi anakuwanga makanga
Kamagera na mblein
Mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
Macho ni nyanya
Nilimshow afanye kitu anaweza fanya
Alitujaribu drama
Bana ikabaki ameweka lawama
Pesa nyang'anywa bila kudanganya
Ofcourse alipigwa manganya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
[Scar Mkadinali]
Jeanika ni waya, shako ni ya kuombaga
Lakini kicks nganya
Dranya manyanga tushakosana
Lakini Ex nganya macho ni nyanya
Jaba ya jana hizo pang'ang'a ni za kawa
Makanga aligwaya akabonga na bang'a
Hivo ndo alianzisha beef nganya
So mwisho ni kwake nilisema hawababei kwetu
We ni type ya kutemewagwa mate
Ukileta gapa hizo ma gang gang (Hatchu")
Ilibidi nimebigia mamake your kid is a bitch
Umuonyeshe babake
The new Rong Edition kwa market
Hizi hauzipatagi na wasee
Vibe imeweza na Guiness mbili
Hali tu in the building
Bado hapa Kenya mi ndio nina ngoma
Imefanyiwa remix mingi
Buda nani kama mimi
Hii ni ya all fans wamenimiss mimi
Wanauliza album nitarelease lini?
Mara ngapi nimeangusha hizo limits chini
Wakidhani mimi nitabaki tu kujulikana mjini
Aah niliskiaga stori
Wanauliza hawa maboy ni kina nani?
Sisi hizi hatuwaiti maponyi
Ah-ah ni watoi wa Matiang'i
Mi nalia vako kwa nduthi
Hii rende ni rong mi stoki sijali
Baada ya hustle nikirudi
Nachoma kindom kenye shawty amesanif
Kamagera na mblein
Mouthing pupu kulilia vako kwa nganya
Macho ni nyanya
Nilimshow afanye kitu anaweza fanya
Alitujaribu drama
Bana ikabaki ameweka lawama
Pesa nyang'anywa bila kudanganya
Ofcourse alipigwa manganya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
Masoki na mbaya atachanganya
Nganya nganya
Mateka kushinda disanya
Nganya nganya nganya
Chulale nahanya
Mtoto ni premium dranya (Nganya)
Bubu game we still move in silence
Yeah nasanya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nganya (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE