Home Search Countries Albums

Nikimuona

ECHO

Nikimuona Lyrics


Anakisura cha baby face
Si mnene mzito mwepesi
Si wakununa ye mcheshi
Utadhani wa bangaladeshi, bangaladeshi oh oh
Afalu na wake mwendo na sio yule wakupenda mascandal
Mijikenda wa kina kadzo pendo
Eeh kadzo pendo oh oh
Natamani niandike barua eeh mana nashindwa kumsimulia
Ila nahisi kama nitajiumbua ila ndo basi nisha yavulia mana eeh

Mwenzenu dzagoma dzagoma nalumwa na homa
Kila nikimona kamoyo pah
Dzagoma dzagoma nalumwa na homa
Kila nikimona kamoyo pah pah eh
Yaani pah pah yeh

Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu, juu juu juu

Kitoto sausage na mishikaki
Si wa mkaa ye wa gasi
Alivyo si wakusemaga hutakii
Akipita nilipokaa uwaga nainuka
Yani nabanduka banduka
Kimoyo chanipwitapwaita
Na akili huaga zaniruka
Kaniweza eeh, nimewisha eeh, nimetegeka eeh
Merogeka eeh, umeniwezae eeh
Nimekwisha eeh, metegeka eeh
Tatizo wezo sina
Nilichonacha ni echo jina aaa aha

Mwenzenu dzagoma dzagoma nalumwa na homa
Kila nikimona kamoyo pah
Dzagoma dzagoma nalumwa na homa
Kila nikimona kamoyo pah pah eh
Yaani pah pah yeh

Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu
Kila nikimuona
Unanidundia juu
Unanidundia juu, juu juu juu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Plus 254 (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ECHO

Kenya

Echo is an artist from Kenya signed under Kubwa Studios. ...

YOU MAY ALSO LIKE